spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Nakuzingatia sana mkemia wangu huna bayaWabheja sana Dr. Hauna kaforo karibu hapo unibles nirare vizuri!!??
Nakuzingatia sana mkemia wangu huna bayaWabheja sana Dr. Hauna kaforo karibu hapo unibles nirare vizuri!!??
Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!Huaga mnapata faida gani kwenye kudhalilisha watu?
Sijawahi kuelewa mantiki ya mtu A kudhalilisha mtu B
Hua naona ni ushamba
Malezi mabaya kukosa ustarabu na wivu uliochanganyikana na chuki
Kabiiiiiiiiiiiiiiisa DrNakuzingatia sana mkemia wangu huna baya
Ngoja nikuangalizieFanya hivo mgonjwa anataka kulala mnywani!
😹😹😹 Rangi imekubali shida tu!Kwenye mapesa body skin haiongopi
Huyo kweli hajui si unajua wakongomani😊
Awwwwwwww 🔥🔥
Here waiting mnywani!!Ngoja nikuangalizie
Wabheja sana mkemiaaAwwwwwwww 🔥🔥
Hakika usiku wangu unaenda kuwa furrreeeeeessshhhhhhh!!!!!
Santo sana dr
Kumbe lizuriii 🔥🔥Watu wali mpicture kama wema sepetu flani!!
Na kihuhalisia angekua yuko economically vizuri alikua anaweza kua na huo muonekano.
Mademu wengi walionona wanahudumiwa vizuri ndiomana wanapata muonekano
Jamaniii 😹😹😹Kilichomponza Demiss nasikia ni mashauzi na kujiona kila kitu anajua. Anasema ana good life lakini anaburuzwa kwenye lodge za 10K na mabaharia wa JF. Hapo ndilo alipounguzia picha. Sawa tu na mwingine wa kuitwa Manengelo aka Wangari Maathai. Huyu mpaka na picha zake za uchi zilivuja nasikia. Anajifanya anajua kila kitu michongo ya hela ndefu kumbe wa kawaida tu. Halafu anamsema mumewe kuwa ni mlevi na hana nguvu za kiume dah! Naye ilibidi apogee mazima labda kama akirudi kwa ID mpya.
Mashauzi ndo huwa yanawaponza watu lakini mtu ukikaa kwenye uhalisia wala hakuna mtu atakusumbua 😂😂😂
Roho yangu mie!! Afu Kila siku unazidi kua mpya!!Kama kweli vile unamaanisha 😹😹😹
😹😹😹 Nna simu ya mkopo haitaki kupiga pic mpaka nimalize deni..!!Kwa kampeni mko poa za kwenu naked weken
Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lolKwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!
Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.
Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.
Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
😹😹😹 Huwezi bana ntilu, Malle ni binti mrembo na mstaarabu..!!Mnaeza nitaftia balaa nikiweka ndan kamjengo kangu nikakaona kama GWANTANAMO
😹😹😹 Alooo!Mi ni mdaka machozi akilia ndio ntaingilia!!
Hamtaki kuachwa ndo tatizo 😹😹Hahaha yeah ndiomana nimesema demiss alijiweka kama wemasepetu flani hivi na washikaji wengi wakajua mtoto ni kisu haswaa; expectation zile walivozikuta tofauti shida ndo ikaanzia.
Sema nasi Kuna mda tuna fell manzi ushaiburuza, piga zako kimya kama unawinda nyingine winda: na demu ukishakazwa humu ndani acha kisebengo kaa kwa kutulia;
Unataka kusema nini chino? 😹😹Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!
Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.
Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.
Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lol
Huyu hivi huyu vile
Hamna lolote hapo ni chuki na wivu kwa saana
JF ni kama platform zingine acheni watu waishi maisha yao