Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
😂😂😂😂 Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.

Nasemaje ubuyu wangu humu nitawaletea mwenyewe.
😂😂😂😂
 
Mziki wa Manengelo ulikua ni wa 🔥🔥🔥
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,

Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
😂😂😂😂 Alooooooh.
Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol
 
😂😂😂😂 Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.

Nasemaje ubuyu wangu humu nitawaletea mwenyewe.
😂😂😂😂
Yule tajiri wa vocha selfika ilikuwaje kuwaje akaacha ndala humu! Kwenye seke seke lile haukuwemo kweli
 
Mziki wa Manengelo ulikua ni wa 🔥🔥🔥
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,

Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
😂😂😂😂 Alooooooh.
😹😹😹😹
 
Back
Top Bottom