Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,774
- 26,911
Asante sana ccy, unaendeleaje?
Mambo shemeki
Asante sana ccy, unaendeleaje?
Tumpe vanga akatike vizuri 😹😹Atakua na kazi ya rusha roho humu, aloooh
😂😂😂
Haha!! Fanya ivoAu sio
😂😂😂 uduguu unanichekesha shughuli ya juzi, vidampa walitaradadi na khanga full kunengua nyonga, mabasha wao wanawatazama runinganiTumpe vanga akatike vizuri 😹😹
😂😂😂😂 yaani sipati picha angenikamataa, Alooooh.Babu miga sio shida zake, ni kuwapelekea moto na kuwafotoa mwanzo mwisho 😹😹😹
Typing error bana! Mi 5 bana.Basi tufanye elfu moja kabisaaa 😹
Tulia wewe😅Haha!! Fanya ivo
Miongoni mwa viumbe navyotamani kuviona Kila mda selfika trust me you are thereTulia wewe😅
😅😅 una bidiii mwenyewe kunilainishaMiongoni mwa viumbe navyotamani kuviona Kila mda selfika trust me you are there
Habari mkuu.
Lamomy nipe kitumbua basi..Si ule boga lako we kichaa nini..!!
Habari mkuu.
Pisi za kwa mzansi umezichapa mpaka umeisahau selfika
Katika vitu ambavyo hua nashindwa ni kuidanganya nafsi yangu.😅😅 una bidiii mwenyewe kunilainisha
Tuko poa wige, na wewe ulipotea sanaa, vipi au ulizamia huko South?
Aiseee inavutia sanaKatika vitu ambavyo hua nashindwa ni kuidanganya nafsi yangu.
Wengine wanakufa na vihoro si Bora chino nasema kweli yangu
Huko siku nta timba tu kufanya sex tour!!
Tuko poa wige, na wewe ulipotea sanaa, vipi au ulizamia huko South?
Watu wamepoa sana ujueAiseee inavutia sana