Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Sema kweli?Miongoni mwa vitu navovilinda kwa wivu mkubwa basi ni wewe!!
😹😹😹 Sema kweli?Miongoni mwa vitu navovilinda kwa wivu mkubwa basi ni wewe!!
Sema kiko kitoto kijanja sana hicho.Nikipata file lake namtupia mwenyewe alisome then tujue tunapindua vipi meza..!! 😹😹😹
Mjomba Ai lazima asingiziwe 😹
😹😹😹 Mi jeuri na nna dharau ndo tatizo langu kubwa..!!Yani wewe mwanaume inabidi awe down sana nahisi walau kidogo anaweza pata attention yako
JF mwenyewe ukiwa mjinga unaingia kwenye mfumo wa wakora..!!Sema kiko kitoto kijanja sana hicho.
Wangekua wameshakiingiza kwenye mfumo!!
Demiss aliwekaga picha yuko hotel flani sijui anakula maisha sijui anatumia mshahara!!😹😹😹😹 Na wakaka wa humu wako chap kushusha pdf wakitoka kutafuna mizigo..!!
Yale Yale ya babu Miga na Morena hotel 😹😹😹Demiss aliwekaga picha yuko hotel flani sijui anakula maisha sijui anatumia mshahara!!
Baadae lijamaa nalo likatuma picha za hotel hio hio
Mkongo na lemba hua linawahusu!😹😹😹 Mi jeuri na nna dharau ndo tatizo langu kubwa..!!
Mwaka wa 8; huu na sijachoka na energy Ile ile😹😹😹 Sema kweli?
Mi si mtu wa maneno..Uwe na file la coca utulie wewee 😹😹😹
Thubutuuuu..!!
😹😹😹 Ni vita?Mkongo na lemba hua linawahusu!
Mtu anajisemea Yani Leo huyu kanikubalia acha nijikoki
Hapo utapigwa nao mpaka ujute.
Anajua unaweza usirudi tena
Kwaiyo ndondo litalopigwa hapo oyaaaa
😹😹😹 Chino kila siku unaongeza miaka..!!Mwaka wa 8; huu na sijachoka na energy Ile ile
Mbona hata mwenyewe unaweza kujitafuna na ukatulia usijitangaze..!!Mi si mtu wa maneno..
Kama unabisha we nipe kitumbua nikitafune uone kama nitatangaza...
Sasa mbona kaacha ndala yeye na sio mimi?Yule tajiri wa vocha selfika ilikuwaje kuwaje akaacha ndala humu! Kwenye seke seke lile haukuwemo kweli
😂😂😂😂 si ndiooooo!!!Nikipata file lake namtupia mwenyewe alisome then tujue tunapindua vipi meza..!! 😹😹😹
Mjomba Ai lazima asingiziwe 😹
Kitumbua kazi yake ni kuliwa, mambo yasiwe mengi, unatoa kitumbua ama hutoi?Mbona hata mwenyewe unaweza kujitafuna na ukatulia usijitangaze..!!
Ushindwe, njaa tupu mimi..!!
Winga toka lini akawa na pesa? 😹😹😹
Shangaa hapo, mbona atatamani JF nzima siku hiyo nyuzi zote aanzishe yeye tu.Uwe na file la coca utulie wewee 😹😹😹
Thubutuuuu..!!
Miatano bana! Afu naiona kama jana tu😹😹😹 Chino kila siku unaongeza miaka..!!
Miaka 8 imefika lini?
😂😂😂😂 yaani kwa jinsi nilivyo lele lele wanatamani sana kunikamata, lakinii wapiiii?Sema kiko kitoto kijanja sana hicho.
Wangekua wameshakiingiza kwenye mfumo!!
Ma mtuBasi usiweke 😅