Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,011
- 27,100
Asante sana ccy, unaendeleaje?Miss you more na nimefurahi kukuona tena selfika sis!
Asante sana ccy, unaendeleaje?Miss you more na nimefurahi kukuona tena selfika sis!
😂😂😂😂Yale Yale ya babu Miga na Morena hotel 😹😹😹
😹😹😹 Tunalipaisha juu kwa juu😂😂😂😂 si ndiooooo!!!
Unasemaje kijanaMa mtu
Na ukiingia umekwishaaa!! 😂😂😂😂JF mwenyewe ukiwa mjinga unaingia kwenye mfumo wa wakora..!!
Si ule boga lako we kichaa nini..!!Kitumbua kazi yake ni kuliwa, mambo yasiwe mengi, unatoa kitumbua ama hutoi?
Yani uliingia kwenye mfumo na haukupholewq😂😂😂😂 yaani kwa jinsi nilivyo lele lele wanatamani sana kunikamata, lakinii wapiiii?
Babu miga hanisahau kamwee, 😂😂😂
Napokea kwa jina la Yesu 🙏Wewe pesa unayo.
😂😂😂 Nikikumbuka Babu miga, mwenzenu nacheka hadi kesho.😹😹😹 Tunalipaisha juu kwa juu
Basi naomba nikuone mimiUnasemaje kijana
Atacheza kibao kata hiyo siku 😹😹Shangaa hapo, mbona atatamani JF nzima siku hiyo nyuzi zote aanzishe yeye tu.
😂😂😂
Basi tufanye elfu moja kabisaaa 😹Miatano bana! Afu naiona kama jana tu
Mie sijawahi ingia kwenye mfumo humu.Yani uliingia kwenye mfumo na haukupholewq
Unataka kuona niniBasi naomba nikuone mimi
Atakua na kazi ya rusha roho humu, alooohAtacheza kibao kata hiyo siku 😹😹
Umekwisha na huwezi tena kutamba 😹😹Na ukiingia umekwishaaa!! 😂😂😂😂
Nataka ugeuke tuUnataka kuona nini
😂😂😂Umekwisha na huwezi tena kutamba 😹😹
Au sioNataka ugeuke tu
Babu miga sio shida zake, ni kuwapelekea moto na kuwafotoa mwanzo mwisho 😹😹😹😂😂😂 Nikikumbuka Babu miga, mwenzenu nacheka hadi kesho.