Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe na yeye katuwakilisha vizuri, namuweka reserve michambo ikianza atatupa msaada
Hakuna namna wataoa tu lile zigo sio la kitoto umetupa heshima asante mwaego maana tunachambwaga humu doh
 
Tule ubwabwa jamani ila naombeni picha yakee kiruuuu kila sehemu anasifiwa kuna nini jamani
Hili ni zigo ilikuwa asubuhi na mapema nikaifuma nikafurahi mwenyewe

Naamini walioisave ni wengi watakutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…