Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanajeshi wako romantic, wanacare, sio wabahiri, wakweli na at the same time ni waongo waongo, wastaarabu ila hapa ni baadhi [emoji23]
Ila sasa ni viwembe noma mbaya [emoji23][emoji125]
Mwanajeshi sio kwa upande wa mahusiano hawafai kwa matumizi raha kuwaona na magwanda yao tu lkn ni makauzu hawana uromantic wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…