Hahaha.!!Do you know that, pictures speak alot??
Nikuambie unawatoto wangapi? au uliwahi kubeba mimba ngapi??
We mwanamke usiache kuni tagSawa ngoja ni upload [emoji23][emoji23]
Msamehe bure jamani!Huyu jamaa amenikasirisha sana. Mimi mlaini?
Let's wait and see..!!Nimeshamwambia lakini bado naona hajafungua huenda bado anatafuta funguo
Msamehe bure jamani!
Ngumu kumpata bana..sisi si wahindi , binamu kwa binamu, haya basi nitafutie mwenye wadhifa kama wewe anaenifaa
Nimebarikiwa nini nguo au simu yenye kamera nzuri?
bahati nzuri,warembo huwa hawakasiriki ujue
HahahahahaSawa ngoja ni upload [emoji23][emoji23]
Hebu njoo pm... Nimegundua kuna watu wabaya wanakufuatilia... Nikupe Kinga [emoji39][emoji39][emoji85]
Hahahahahahaha nitakutagWe mwanamke usiache kuni tag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha.!!
Umeshanipa mpaka watoto mkuu?? Barikiwa sana naomba tu wawe mapacha lakini please.!!
Hivi vimifupa nikivi upload hapa si nitachekwa[emoji23][emoji23]Hahahahaha
Niko hapa mimi jamani
Siyo lengo la uziNgoja niihifadhi kwa matumizi ya baadae