We si mchawi lakiniItaibiwa
Zipo humu zimejaa teleWewe zako zipo wapi?
Hatari Sana[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nimekuona mtoto mzurii [emoji8][emoji8]
U are so cute darln, team vibongeeee [emoji91]
Mimi na wewe tenaaa, hakuna litaloharibikaNitajali kama hutompatia Braza ako..
Weka tuone.Zipo humu zimejaa tele
Hahhaa.!!Nimekuona mtoto mzurii 😘😘
U are so cute darln, team vibongeeee 🔥
Naomba kifua shem jamaniSema kitu kingine[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni
Nitamfungia safari muache tu
[emoji849]Naomba kifua shem jamani
Hiii subiri watoto tulaleNaomba kifua shem jamani
Story zimekuwa nyingi 😂Punguzeni manenoo...
Picha tafadhali
Haha eti tunaforce!! Sie ni vibonge hasaa si eti eeh Saint anneHahhaa.!!
I really appreciate this mì girlie,
Ila mie ni kibonge kweli siyo wa ku force kama huo wenu !!
Yaani acha kabisa usicheze na kilingeHahahahah
Kweli uchawi upo dada
Pole mumie,Hebu tupieni tumuaibishe shetani jamani ungeona nilivyo bize, tangu saa nane sijachungulia saiv nikasema ngoja nichungulie ndo nikakutana na maua mazuri mazuri kwa uroho nikajisemea hata sikubali yanipite,,
Miminimama mizigo yako niliyoisave jana imenijazia simu kweli muzigo ni mujigo
SaaanaaaStory zimekuwa nyingi [emoji23]
Nyau weweHaha eti tunaforce!! Sie ni vibonge hasaa si eti eeh Saint anne
Vibonge sie inabidi tuanze kuattend gym [emoji23]
AmenPole mumie,
miminimama nimemskia tu akisifiwa hapa walaqhi hata sijafanikiwa kumtia machoni, MUNGU ambariki ID yake inaendana na ukhalisia wake yeye mwenyewe.!! tupende vya kwetu.!!
Wengine huku kuna camera beauty pia wadau wasisahau hilo..!!
Hili ni bango umenipea na limeniingia hasa, naanza ku attend gym very soon.!!Haha eti tunaforce!! Sie ni vibonge hasaa si eti eeh Saint anne
Vibonge sie inabidi tuanze kuattend gym 😂