Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Toka jana ndio naingia jf saiz,ndo maana nikakuomba ukipost unitag ili nipost na yangu π€Jamaniii
Asa ilikupitaje eti
[emoji23][emoji23] mimi mwenyewe mhanga wa kulalamika kimoyomoyo nimekuta picha kibao zimefutwaBora this time nimeotea kabla ifutwe, Umependeza mumie.!! Ngoja nimuite mlalamikaji mwenzangu wa picha za kufutwa, Cc Khantwe..!!
KumbePaprika...
Mbona nilianza kitambo Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza bangi siku hizi??
AiseeeAginiroda kwa sababu yako, sitajutia asilani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sahani saa 4 hii kasoro, hapa sahivi tupieni blanket [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaona sasa?? Kwa hali hii ndiyo unataka nisiwe nakugombeza kweli??
Haha, inakatisha sana tamaa na kutunyima uhondo.!![emoji23][emoji23] mimi mwenyewe mhanga wa kulalamika kimoyomoyo nimekuta picha kibao zimefutwa
Post yako basi halafu na mie nipostToka jana ndio naingia jf saiz,ndo maana nikakuomba ukipost unitag ili nipost na yangu [emoji851]
KabisaHapana sijaona, sie tumezidi ubonge jamani aah emu tupunguze kula
Hebu mdu ze nidifuli please...
Picha za vikombe kama ukikosa kabisaa
Nakubhona mukamu.
Hahhaa!!Naingia tena mjengoni kwa faida yako Na wengine wengi ambao hamkuwepo
Saint Anne amefika ndani ya mjengo[emoji4][emoji3526][emoji3590]
Depal
Khantwe
kapeace
Da'Vinci ukuje na picha kule
View attachment 1221024
Woyoooo[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kisu kingine hiki hapaBaada ya dk 45 naifutaView attachment 1220936
Chibongeeee mzito ππππWoyoooo[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Piga kelele kwa dada chibongeeeeeeeee
ππ taratibu usijikwaeHahhaa!!
Andazii wewe.!!
Hivi ni nini kunitoa mbio mbio kote kule.!!