Picha yakoNini tena Kigori.
Hakuna kitu soft namna hii mkuu wee kiatu cha samaki kaza sana usiingie jera utakua mboga ya nyapara
Ujue wewe mjanja mjanja sanaSi kweli.
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii simple kaka
Mimi nina miaka robo karne.Ndiwooo
[emoji23][emoji23][emoji23]unajua Mshanajr aliikwiba kirozi nikakuta naona miwani tu myeusi kama fundi magetiYanaishaje sasa, niambie basi jamani! Ile ID yako tunayofahamiana kimaukwelii!!
mhh... Hiyo mikono ni wewe??Hahaha.!!
Umeshanipa mpaka watoto mkuu?? Barikiwa sana naomba tu wawe mapacha lakini please.!!
HahahahahaMimi nina miaka robo karne.
[emoji23][emoji23]heshima yako mkuuu samahani nilivuka mipaka kidogo ila ahsante kwa kunirudisha kiutu uzimaMipaka iwepo sasa.
Kilichofanya udhibitishe ni mimi ni nini? Na nimeikata? [emoji23]Ni wewe
Mbona unaweka picha unaitoa haraka hivyo wengine hatujaiona aiseeehMimi nina miaka robo karne.
Nilikuambia ni tagMimi nina miaka robo karne.
[emoji23][emoji23][emoji23]woiii husahauHebu njoo basi nikupe mikakati ya saa 4.
Alikuuzia mbuzi kwenye gunia.
Njoo nikupeMbona unaweka picha unaitoa haraka hivyo wengine hatujaiona aiseeeh
[emoji106][emoji106][emoji23][emoji23]heshima yako mkuuu samahani nilivuka mipaka kidogo ila ahsante kwa kunirudisha kiutu uzima