Selfika na JF: Snap it. Show it

But kuna kitu kimenishangaza kwenye huu uzi,member anatakiwa a-post pic inayoonyesha mazingira alivyo kwa wakati huo au hata ambazo alijipigaga zamani?

Leo nimejua mie siyo mpenzi wa kupiga picha aisee maana nimeangalia gallery mpaka file manager huko vuruga mpaka Google photos hakuna picha ya maana niliyojipiga zaidi kumejaa screenshots za quotes mbali mbali na picha zinazohusiana na kazi zangu.

Hii ni ziada tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…