Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

Mimi pia, mdogo wangu alijaza Chuo kama chaguo la kwanza , then Advance 2nd choice, HGE, wamemchagua HKL...
 
Dogo alijaza advance kama first choice wamemchagua chuo
 
Binti angu machaguo yote alijaza CBG

chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza

sasa nini maana ya kujaza selfom?
Boss walimu ndio tatizo baada ya watoto kujaza selform Tamisemi huwa wanaomba walimu wajaze kwenye mfumo hiyo tarifa so walimu wengi hulipua so hawazingatii machaguo ya watoto
 
Boss walimu ndio tatizo baada ya watoto kujaza selform Tamisemi huwa wanaomba walimu wajaze kwenye mfumo hiyo tarifa so walimu wengi hulipua so hawazingatii machaguo ya watoto
mimi nilijaza mwenyewe selfom kupitia nikamchakulia CBG zote machaguo matano sasa nashangaa majibu yanatoka HGK
 
Boss walimu ndio tatizo baada ya watoto kujaza selform Tamisemi huwa wanaomba walimu wajaze kwenye mfumo hiyo tarifa so walimu wengi hulipua so hawazingatii machaguo ya watoto
Kila mwanafunzi hujaza machaguo yake online na kulikuwa na deadline ya kufanya mabadiliko baada ya matokeo kutoka
 
Upuuzi mtupu,, kupotezeana muda tu mi mdogowangu aliweka zote PCB wamemchagua PCM
Yaani ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa,wa kwangu chaguo la kwanza kajaza pcb lakini kapelekwa cbg,shule aliyopelekwa ndo majanga ni tofauti kabisa na shule alizochagua mwenyewe tulizojaza ktk selform.
Yaani hiyo selform haina faida yoyote.
 
Back
Top Bottom