Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

Kama utapenda kumbadilishia mtoto wako shule ambayo amepangwa kidato cha tano a some shule za huku moshi
Tuwasiline mapema kabla hajariport shule aliyopangwa

Call me
0764616353
 
Yaani ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa,wa kwangu chaguo la kwanza kajaza pcb lakini kapelekwa cbg,shule aliyopelekwa ndo majanga ni tofauti kabisa na shule alizochagua mwenyewe tulizojaza ktk selform.
Yaani hiyo selform haina faida yoyote.
Sasa kama shule aliyoomba ina nafasi 100 halafu waombaji mko 200
 
Binti angu machaguo yote alijaza CBG

chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza

sasa nini maana ya kujaza selfom?
Kama shule aliyochaguliwa Cbg ipo ni rahisi tu chap anabadilisha akisharipoti kama haina fanya umuhamishe kabla ya kuripoti.
 
wanachagua kwa ushindani uwenda hakuwa na ufaul wa kutosha ku winn compitation iliyo kuepo kwenye combi au shule husika aijialishi uchague combination gani, nafasi utapewa kwa ushindani ndivo ilivo, kwaiyo tamisemi na selform zao wapo sawa kabisa chance ya uhuru wa kielim inaazingatiwa
 
Yaani ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa,wa kwangu chaguo la kwanza kajaza pcb lakini kapelekwa cbg,shule aliyopelekwa ndo majanga ni tofauti kabisa na shule alizochagua mwenyewe tulizojaza ktk selform.
Yaani hiyo selform haina faida yoyote.
ina faida sana una enda wrong sana!
 
Kama shule aliyochaguliwa Cbg ipo ni rahisi tu chap anabadilisha akisharipoti kama haina fanya umuhamishe kabla ya kuripoti.
Taratibu za kumuhamisha mwanafunzi ni zipi?
 
Jamani plss toa majibu na wengine tufaidike
Unaenda ofisi ya elimu mkoa unaomba kubadilishiwa shule au combination
Au TAMISEMI Dodoma
Vile vile kubadili combination hata shuleni inawezekana ili mradi ana point za kusoma hiyo combination
 
Vipi mtu mwenye C zote si anaweza kusoma comb yyte anayoitaka?
 
Unaenda ofisi ya elimu mkoa unaomba kubadilishiwa shule au combination
Au TAMISEMI Dodoma
Vile vile kubadili combination hata shuleni inawezekana ili mradi ana point za kusoma hiyo combination
Kwahyo kutoka chuo kwenda shule pia afanye hvyohvyo
 
Back
Top Bottom