Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

Boss walimu ndio tatizo baada ya watoto kujaza selform Tamisemi huwa wanaomba walimu wajaze kwenye mfumo hiyo tarifa so walimu wengi hulipua so hawazingatii machaguo ya watoto
Ficha upuuzi wako, hizo fomu wanajaza Wanafunzi wenyewe, labda wewe ulikuwa mtoro ukajaziwa
 
Wakuu nimeiona hii sehemu sijui inatumika mwaka huu kubadilisha combination?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…