Sema chochote kuhusu MwanaFA

Pole sana mkuu naona vibonde wenu wamewafundisha mpira.

ana uhusiano wowote na Football Association ya U.k FA ambao leo wameandaa mechi ya kukata shoka baina ya Timu yangu Manchester United na Vibonde Wetu Chelsea.
 
Anaonekana ni mtu ambaye angetaman sana kuwa baunsa siku moja, lakini ni mvivu sana wa kula...Anyway ni karateka mzuri
 
NI kati ya wasanii wachache ambao wameweza kumantain toka wailpoanza. ana masters toka pale coventry universty na taarifa za uhakika anaweza kuanza phd pale udsm mwaka huu.
unaweza kuendelea( weakness zake na strengths zinaruhusiwa.

Binamuuuuu wa ma-b!
 
mkuu unaweza kuniambia kwa waliograduate coventry university mwaka aliomaliza jina lake lipo kwenye list waliograduate? naomba unihakikishie kwa hilo mkuu maana umesema tuseme chochote ebu tuanzie hapo kwanza.
 
Kweli alisoma Coventry university ILA sidhani Kama alipata masters, itakua ni diploma au degree.

Sent from my EyePhone
 
kuna utata sana kwenye hii ishu ya mastaz...nakumbuka mara ya mwisho wenzake wana graduate yeye alikuwa anaongelea kwenda kuclear vimeo.
 
kuna utata sana kwenye hii ishu ya mastaz...nakumbuka mara ya mwisho wenzake wana graduate yeye alikuwa anaongelea kwenda kuclear vimeo.

mkuu afadhali na wewe umeliona hilo maana tukiongea sana tutaambiwa tuna chuki binafsi mwana fa namkubali sana mziki wake ila hilo suala la ku graduate masters hilo nalikataa ingawa kweli alisoma pale chuoni na kama kuna watu wenye kumbu kumbu waliotazama mkasi kuna sentensi aliongea na hicho kitu ndicho kilichomponza huko chuoni, wabongo tunaweka hadi siasa kwenye elimu
 
Kweli alisoma Coventry university ILA sidhani Kama alipata masters, itakua ni diploma au degree.

Sent from my EyePhone
alimaliza advanced diploma pale ifm na baadae akafanya kazi ndio akaenda kusoma Msc finance pale coventry ila kuhusu ku graduate ndilo tatizo kubwa na hata hivyo namkubali sana mwana FA hakuna sehemu yoyote alishasema kuwa amegraduate master bali huwa namsikia kwenye interview mbali mbali kuwa alikuwa anasoma master matokeo mimi na wewe hatujui na siku hizi dunia imekuwa kijiji kasoma na wabongo pia hapo hapo wanajua kila kitu hatofautiani na vick kamata huyo mbunge wa kuteuliwa kuwa amemaliza MBA wakati iko pending hajagraduate vimeo vimejaa
 
umeongea vizuri. kama ukiangalia kwenye twitter profile yake kaandika mc with Msc. kwenye mkasi alisema kuwa kuna pepa anaenda kumalizia. so hebu tutafiti hapo
 
HANA SURA YA KUVUTIA KAMA WEWE SI NDIO? BUT HEMEDI ( ROLE MODEL WAKO) ANAMKUBALI KICHIZI
:nono:

F.A ameacha kuvaa masuruali mapana kama mcheza kwasakwasa?FA kama siyo mtoto dar es salaam bana uvaaji wake!hamnaga nguo zinampendeza zaidi ya kanzu tu!
 
mwana fa wewe ni mwanamuziki uliyetulia na usiyekuwa na scandles endelea hivyo hivyo bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…