Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #41
kwa mtazamo wako inawezekana upo sahihi pia.Jamii hajui kupiga pamba kabiiiisa! Alafu ileee kiboya zaidi (legelege)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mtazamo wako inawezekana upo sahihi pia.Jamii hajui kupiga pamba kabiiiisa! Alafu ileee kiboya zaidi (legelege)
Ha,ha,ha,ha....
Yeye mwenyewe amelegea!!!
Ha,ha,ha,ha....
Yeye mwenyewe amelegea!!!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ana uhusiano wowote na Football Association ya U.k FA ambao leo wameandaa mechi ya kukata shoka baina ya Timu yangu Manchester United na Vibonde Wetu Chelsea.
NI kati ya wasanii wachache ambao wameweza kumantain toka wailpoanza. ana masters toka pale coventry universty na taarifa za uhakika anaweza kuanza phd pale udsm mwaka huu.
unaweza kuendelea( weakness zake na strengths zinaruhusiwa.
akazane kusoma mara mbili sa hivi anasubiria kuchukua PHDAkazane Kusoma
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
NI kati ya wasanii wachache ambao wameweza kumantain toka wailpoanza. ana masters toka pale coventry universty na taarifa za uhakika anaweza kuanza phd pale udsm mwaka huu.
unaweza kuendelea( weakness zake na strengths zinaruhusiwa.
mkuu unaweza kuniambia kwa waliograduate coventry university mwaka aliomaliza jina lake lipo kwenye list waliograduate? naomba unihakikishie kwa hilo mkuu maana umesema tuseme chochote ebu tuanzie hapo kwanza.

kuna utata sana kwenye hii ishu ya mastaz...nakumbuka mara ya mwisho wenzake wana graduate yeye alikuwa anaongelea kwenda kuclear vimeo.
alimaliza advanced diploma pale ifm na baadae akafanya kazi ndio akaenda kusoma Msc finance pale coventry ila kuhusu ku graduate ndilo tatizo kubwa na hata hivyo namkubali sana mwana FA hakuna sehemu yoyote alishasema kuwa amegraduate master bali huwa namsikia kwenye interview mbali mbali kuwa alikuwa anasoma master matokeo mimi na wewe hatujui na siku hizi dunia imekuwa kijiji kasoma na wabongo pia hapo hapo wanajua kila kitu hatofautiani na vick kamata huyo mbunge wa kuteuliwa kuwa amemaliza MBA wakati iko pending hajagraduate vimeo vimejaaKweli alisoma Coventry university ILA sidhani Kama alipata masters, itakua ni diploma au degree.
Sent from my EyePhone
umeongea vizuri. kama ukiangalia kwenye twitter profile yake kaandika mc with Msc. kwenye mkasi alisema kuwa kuna pepa anaenda kumalizia. so hebu tutafiti hapoalimaliza advanced diploma pale ifm na baadae akafanya kazi ndio akaenda kusoma Msc finance pale coventry ila kuhusu ku graduate ndilo tatizo kubwa na hata hivyo namkubali sana mwana FA hakuna sehemu yoyote alishasema kuwa amegraduate master bali huwa namsikia kwenye interview mbali mbali kuwa alikuwa anasoma master matokeo mimi na wewe hatujui na siku hizi dunia imekuwa kijiji kasoma na wabongo pia hapo hapo wanajua kila kitu hatofautiani na vick kamata huyo mbunge wa kuteuliwa kuwa amemaliza MBA wakati iko pending hajagraduate vimeo vimejaa
HANA SURA YA KUVUTIA KAMA WEWE SI NDIO? BUT HEMEDI ( ROLE MODEL WAKO) ANAMKUBALI KICHIZI
:nono: