Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,649
Sema huyu mjusi kanifanya niwaze mbali sanaa daah
Hawa mijusi iguana wapo barani Amerika, hawapo Afrika.Sema huyu mjusi kanifanya niwaze mbali sanaa daah View attachment 3320101
AChana nayo mkuu😂😂😂Anamaanisha nini?
Nikiwa kimbiji😂😂Hawa mijusi iguana wapo barani Amerika, hawapo Afrika.
Kakufanya uwaze mbali ukiwa wapi, angelikukata 'mbupu'.