Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.

1680349971277.png
 
Kusema mashindano ya CAF namaanisha shirikisho na ligi ya mabingwa
Utachanganyaje timu zilizofuzu makundi Champions League na zile zilizotolewa mashindanoni? Mfaano mzuri, katika CAF Champions League, Zalan ilitolewa mashindanoni, halafu kuna timu kama Yanga nayo ilitolewa mashindanoni. Kwa ufupi, Yanga na Zalani walitolewa katika mashindano ya CAF Champions League. Sasa iweje kuanza kusema mashindano ya CAF, ili uonekane na wewe upo upo?
 
Mashindano ya shirikisho yanaendeshwa na nani? Unaijua CAF confederatin cup. Ndiyo maana mliitwa mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom