Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ma looser banaNdugu mbumbumbu mashindano ya CAF ni mengi mbona una kichwa kigumu wewe
Masahihisho si Young ni YangaKatika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
View attachment 2572965
Unfortunately you can't win with losersUtapata kisukari bure, you have only two options, either win with us or watch us win!
Si akili kisodaUtopolo ni wajinga sana, badala ya kujisifia wapo hata kwenye timu 10 bora Africa, wenyewe wanawaza majina
Huo mwiko nyuma unatafuta niniNa wazee waliosema Daima mbele,Nyuma mwiko wapewe nishani ya heshima
Ujinga unao wewe kumi bora sio mafanikio ya kudumu, sisi tunasaka trophiesUtopolo ni wajinga sana, badala ya kujisifia wapo hata kwenye timu 10 bora Africa, wenyewe wanawaza majina
Kuandika tu kunakupa shida utaweza ku reason,?Ila ma looser bana
Muulize aliekuchomekeaHuo mwiko nyuma unatafuta nini
Ukiskia uenda wazimu ndiyo huo sasa wa mtoa mada.Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
View attachment 2572965
Nilimuchomekea baba yakoMuulize aliekuchomekea
Kirefu cha YANGA ni nn? Maana nikiitafuta Young Africa kwenye YANGA sioni.Masahihisho si Young ni Yanga
Mnaanza utani lakini utani hamuwezi mnaanza kutukana wazazi.Nilimuchomekea baba yako
Yeye alivyonitukana alikuwa sahihi sio hebu soma commentMnaanza utani lakini utani hamuwezi mnaanza kutukana wazazi.
Kama utani ulikuwa huwezi ungekaa kimya
Mbumbumbu ni mbumbumbu tuYeye alivyonitukana alikuwa sahihi sio hebu soma comment
Kombe la loser unalo ewe mbumbumbu?Unfortunately you can't win with losers