Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

Kusema mashindano ya CAF namaanisha shirikisho na ligi ya mabingwa
Utachanganyaje timu zilizofuzu makundi Champions League na zile zilizotolewa mashindanoni? Mfaano mzuri, katika CAF Champions League, Zalan ilitolewa mashindanoni, halafu kuna timu kama Yanga nayo ilitolewa mashindanoni. Kwa ufupi, Yanga na Zalani walitolewa katika mashindano ya CAF Champions League. Sasa iweje kuanza kusema mashindano ya CAF, ili uonekane na wewe upo upo?
 
Mashindano ya shirikisho yanaendeshwa na nani? Unaijua CAF confederatin cup. Ndiyo maana mliitwa mbumbumbu.
 
Hamna mashindano ya CAF wewe
 

Attachments

  • SIMBA WALI KUWA WANASHINDANIA KOMBE LA LOOSER- HAJI MANARA_low12.mp4
    230 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…