Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Nimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.