Sema kweli majimaji baada ya kutawaza msalani unayafanyaje ili utoke mkavu au unavaa nguo hivyo hivyo?

Nimekuwa napata shida sana.

Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.

Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.

Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.

NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
Alafu unakuta imechora Matrakoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.

Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.

Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.

Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza
.​
kitaalamu uko sawa kuhusu kinyesi! Ila kujisafisha ni Lazima sababu kwa vyovyote vile Lazima Utanuka.
 
Watu wa mikoani mnapata shida sana mnapokuja mjini. Mmeshazoea kuingia kichakani unajisaidia Kisha unavaa nguo na kuondoka.

Ukijitahidi sana unatumia majani. Sasa mkija mjini unakutana na watu wanatumia maji! Unaona aibu. Hapo ndio shida inapoanza. Kama ni mzoefu hili swali usingeuliza.
 
Miaka 20 ijayo tutalazimika kuwabeba mabinti zetu kuwapeleka sehemu za makumbusho kuwaonyesha mwanaume kamili alikua anafananaje
Kwa kweli..... Ety Kuna limoja nililiona kwanza linatako kunishinda, Alf likaja linanambia shoga mambo
Nkalimbia kaza sauti **** ww huoni sura yako ilivo ngumu hvo toka hapo limenichukia kabisa yani
 
Hahahaaa, lina tako kukushinda eti?!
 
Kwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.

Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.

Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.

Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza
.​
That is fvcked up!!
 
Ndio maana unanuka mavi
 
Shida mna ulaji mbaya, kula matunda kwa wingi, piga maji ya kutosha, epuka junky foods, uone kama hujatoa kimba kina mashirikiano kamili.
Umenijibu vibaya bure tuu, comment yangu haikustahili aina ya jibu ulilotoa. Ila nakushukuru.
 
Wanyama na ndege hawana maji Wala toilet paper [emoji848][emoji848].
Lakini wako Safi
 
ngoja nikupe mbinu za kiscout.
Kama hakuna tissue ukimaliza kutawaza una mayele mayele.
Njia nyingine ni kujipiga makofi kadhaa sehem oevu.
Kama we ni muislam wa kiume tumia mtawazo wa kiibada kwa kusugua kichwa cha dushe kwenye ukuta wa chupingi ukipigapiga kama tembo kaingiliwa sisimizi mkongani!
kama njia zote hizi hazijakusaidia rudia njia ya kwanza hadi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom