Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
TakbiirNimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
Wenzio tunajifuta na magunzi ya mahindi,jaribu ujioneeNimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
Umeumaliza mwendo.Nimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
Wahuni washapenyeza msumariUmeumaliza mwendo.
Acha kusingizia maji ya kutawadha
🤣🤣🤣Ngoja waje kukupa muongozo...
Shida sio maelezo yako, shida ni picha inayojijenga kichwani. The image in my headKwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.
Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.
Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.
Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza.
Shida sio maelezo yako, shida ni picha inayojijenga kichwani. The image in my head
Ninyi ndio hunuka mikei sio bureWenzio tunajifuta na magunzi ya mahindi,jaribu ujionee
Huna hata handkerchief?Nimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
Nimekuwa napata shida sana.