Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Alafu unakuta imechora Matrakoo[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji.
Wenzangu huwa mnafanyaje ili mtoke wakavu.
NB: Kutumia toilet paper pasipo maji bado unatoka na uchafu.
kitaalamu uko sawa kuhusu kinyesi! Ila kujisafisha ni Lazima sababu kwa vyovyote vile Lazima Utanuka.Kwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.
Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.
Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.
Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza.
Miaka 20 ijayo tutalazimika kuwabeba mabinti zetu kuwapeleka sehemu za makumbusho kuwaonyesha mwanaume kamili alikua anafananaje[emoji23][emoji23] wanaume wa siku hizi jamani
Kwa kweli..... Ety Kuna limoja nililiona kwanza linatako kunishinda, Alf likaja linanambia shoga mamboMiaka 20 ijayo tutalazimika kuwabeba mabinti zetu kuwapeleka sehemu za makumbusho kuwaonyesha mwanaume kamili alikua anafananaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeumaliza mwendo.
Acha kusingizia maji ya kutawadha
Naona maelezo ni ya mwanaume, ila mada ni ya kike, mambonya tishu sijui nini ni ya wanawake..Umeumaliza mwendo.
Acha kusingizia maji ya kutawadha
Hahahaaa, lina tako kukushinda eti?!Kwa kweli..... Ety Kuna limoja nililiona kwanza linatako kunishinda, Alf likaja linanambia shoga mambo
Nkalimbia kaza sauti **** ww huoni sura yako ilivo ngumu hvo toka hapo limenichukia kabisa yani
Yani Lina tako kubwa mnoHahahaaa, lina tako kukushinda eti?!
That is fvcked up!!Kwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.
Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.
Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.
Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza.
Kwa kawaida normal body physiology ilivyo inatakiwa ukishakunya, ukisimama basi usihisi kama kuna ka kitu kamebakia hapo mlangoni.
Ukiona umekunya kisha masalia yanabakia mlangoni basi ujue mfumo wako wa chakula hauko sawa sawa.
Mimi huwa nikienda kunya kama mazingira siyo rafiki sana basi sina haja ya kutawaza maana kunakuwa hakuna masalia hapo mlangoni.
Hivyo nikifika mazingira rafiki ndiyo naweza kukamilisha mchakato ama until next process ndio natawaza.
Umenijibu vibaya bure tuu, comment yangu haikustahili aina ya jibu ulilotoa. Ila nakushukuru.Shida mna ulaji mbaya, kula matunda kwa wingi, piga maji ya kutosha, epuka junky foods, uone kama hujatoa kimba kina mashirikiano kamili.
I see, basi wewe utakuwa una tako lile la saizi fulani hivi ninayopenda mimi🙂🙂Yani Lina tako kubwa mno
Lipo wapi hilo hebu sketch mapYani Lina tako kubwa mno
Ushakutana na ubao wa matangazo...... Basi ndo mim hapaI see, basi wewe utakuwa una tako lile la saizi fulani hivi ninayopenda mimi[emoji846][emoji846]
Kwani hua unakula mabwabwaLipo wapi hilo hebu sketch map