Nikweli mkuuKama ulizaliwa 2000 utaona TV nikitu cha ajabu? maana kizazi hicho kinazaliwa na remote mkononi,mtoto ananyonya anajua ku operate jamani!!
Hio tv ilikuwa na built-in vhs recorder/player?Mimi mara yakwanza sikuamini nilipoona TV halafu unaweka kanda?nilizoea za film mkanda unazungukaaaa sasa kuona kideo ukweli nilikiona mara ya kwanza mwaka 1983 Tena aliletwa General Manager wa kiwanda cha sukari Kagera alikuwa anaitwa Kakiziba that was my first time kuona Tvi!.
Kama ulizaliwa 2000 utaona TV nikitu cha ajabu? maana kizazi hicho kinazaliwa na remote mkononi,mtoto ananyonya anajua ku operate jamani!!
Swali hili waulize wale ambao toka wazaliwe hawakuiona mpaka walipofikisha miaka 15 na kuendelea
2002 Kumbe la dunia2002 kumbe la dunia
Nimekwambia sijaziona au nimekuuliza hio ulioiona kuwa ina built-in deck? Nilikuwa sijui kuwa hadi za mwaka 1983 zilikuwa na built-in vhs player!Ujaziona ambazo ni VHS inbult?
1982 ulikuwa na miaka mingapi? Mlifanya sensa ya tv mkajikuta mko wawili?Nakumbuka sisi tulikuwa wa pili ktk mkoa wetu kuleta TV [emoji342] nchini TZ ilikuwa mwaka1982
TV aina ya AKAI[emoji1321]
1982 ulikuwa na miaka mingapi? Mlifanya sensa ya tv mkajikuta mko wawili?
Nauliza tu ili nijue ulijuaje kuwa mkoa mzima nyunba mbili tu zina tv?Mkuu unauliza kwa sanifu ama[emoji849]