Sema mara yako yakwanza kuona TV ilikuwaje?

Sema mara yako yakwanza kuona TV ilikuwaje?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Mimi mara yakwanza sikuamini nilipoona TV halafu unaweka kanda?nilizoea za film mkanda unazungukaaaa sasa kuona kideo ukweli nilikiona mara ya kwanza mwaka 1983 Tena aliletwa General Manager wa kiwanda cha sukari Kagera alikuwa anaitwa Kakiziba that was my first time kuona Tvi!.
 
Hio tv ilikuwa na built-in vhs recorder/player?
 
Nakumbuka sisi tulikuwa wa pili ktk mkoa wetu kuleta TV [emoji342] nchini TZ ilikuwa mwaka1982
TV aina ya AKAI[emoji1321]
 
Ujaziona ambazo ni VHS inbult?
Nimekwambia sijaziona au nimekuuliza hio ulioiona kuwa ina built-in deck? Nilikuwa sijui kuwa hadi za mwaka 1983 zilikuwa na built-in vhs player!
 
Siku ya kwanza kuona Tv nilikuwa darasa la pili ila tumbo lilinivuruga sana, Tv ililetwa shuleni tukatoa 100 kutazama.

Yaani Dk moja kwenye Tv Dk 20 Toilet.
 
Ilikuwa mwaka 1993 ama 94 kama skosei,sijui hat mdingi alinunua lini. kipindi hicho niko yanki sana,baadae akanunua hitachi new model mwaka 95 same year dogo langu la mwishi limezaliwa,hyo tv hadi leo ipo,nzima kabisa.
 
Kwa kipindi cha 90' zilisha jaa watu walikuwa hawastuki kama ilivyokuwa 80's-89 watu walishaanza kuziingiza watu wakawa hawashtuki ila hiyo 80's acha.
 
Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).

Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.

Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.

Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo
 
Back
Top Bottom