RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Are u serious? 90s? Kipindi cha ITV,DTV,CTN? Hata shule tushaanza kuazimana vhs za mtv,za michael jordan etc!Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).
Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.
Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.
Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo
Jamani vitu vingine ni kwamba mlikuwa hamna information ila vilishazagaa.