Sema mara yako yakwanza kuona TV ilikuwaje?

Sema mara yako yakwanza kuona TV ilikuwaje?

Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).

Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.

Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.

Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo
Are u serious? 90s? Kipindi cha ITV,DTV,CTN? Hata shule tushaanza kuazimana vhs za mtv,za michael jordan etc!
Jamani vitu vingine ni kwamba mlikuwa hamna information ila vilishazagaa.
 
Are u serious? 90s? Kipindi cha ITV,DTV,CTN? Hata shule tushaanza kuazimana vhs za mtv,za michael jordan etc!
Jamani vitu vingine ni kwamba mlikuwa hamna information ila vilishazagaa.
Nimezungumzia mtaa hapo siyo kitongoji chote
 
Nilitaka niingie kwenye kideo ili Mama na Baba wanione mtoto wao kwenye kideo
 
Basi utakuwa muhenga! Waliozaliwa 1985 kuja juu wamekuta za rangi
Inategemea na familia.mimi nlikuta black and white ila kuna kioo kinavalishwa kwa mbele ya screen cha rangi rangi
 
Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).

Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.

Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.

Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo

Daah hiyo tabia ya kwa Msuya imenikumbusha mbali saaana aiseee teh teh teh
 
Nauliza tu ili nijue ulijuaje kuwa mkoa mzima nyunba mbili tu zina tv?

Miaka hio ya themanini ilikua mtu akinunua baskeli tu anafahamika maeneo yoote hapa kwetu,ukizingatia ka mji kalikua ndio bado kabisaaaa.
Mzee wangu alliwekwa ndani pamoja na mzee Patel enzi hizo za uhujumu uchumi kwa kumiliki TV nchini,kila mmoja alikua akishaanga kuiona luninga mahakamani[emoji1321]
 
Back
Top Bottom