Are u serious? 90s? Kipindi cha ITV,DTV,CTN? Hata shule tushaanza kuazimana vhs za mtv,za michael jordan etc!Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).
Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.
Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.
Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo
Nimezungumzia mtaa hapo siyo kitongoji choteAre u serious? 90s? Kipindi cha ITV,DTV,CTN? Hata shule tushaanza kuazimana vhs za mtv,za michael jordan etc!
Jamani vitu vingine ni kwamba mlikuwa hamna information ila vilishazagaa.
OkNimezungumzia mtaa hapo siyo kitongoji chote
Basi utakuwa muhenga! Waliozaliwa 1985 kuja juu wamekuta za rangi
Msimu wa kombe la dunia kwamara ya kwanza ndiyo niliona TV2002 Kumbe la dunia
Hapa mkuu ulikuwa unamaanisha?
Kuna jamaa yangu Mara ya kwanza alipo ona TV aliikimbia akasema huu ni uchawi unaweza usiamini ala ni ilikuwa 2011Nilitaka niingie kwenye kideo ili Mama na Baba wanione mtoto wao kwenye kideo
Inategemea na familia.mimi nlikuta black and white ila kuna kioo kinavalishwa kwa mbele ya screen cha rangi rangiBasi utakuwa muhenga! Waliozaliwa 1985 kuja juu wamekuta za rangi
Mwananyamala kwa Kopa miaka ya 90 tv alikua nayo mzee Msuya, mzee Ngozi (mjumbe) na baba Elvis (mwanajeshi).
Msuya na baba Elvis ilikua hawataki uingie, kwa Msuya mtaambiwa nendeni mkanawe miguu mkirudi mlango umefungwa.
Baba akanunua JVC K series narudi shule naishangaa vibaya mno, kuoperate siwezi nikajikuta nimebadilisha lugha na kuweka kichina.
Hiyo tv ilinunuliwa 99 mpaka leo ipo
Nauliza tu ili nijue ulijuaje kuwa mkoa mzima nyunba mbili tu zina tv?