Hii biashara wanaonufaika ni kama ifuatavyo.
1-Wanaouza material ya kujifunza na kutoa elimu, hapa wanatoa vitabu, mafunzo ya online na videos, hawa instagram wamejaa, suti, sports cars, nyumba kali, screenshot za profits, bata n.k hawa ni successful story mwanzo mwisho.
2-Trader wakubwa(Individual traders wenye mifuko, Institutions, Banks, Hedgefunds n.k n.k) Hawa wana mitaji mikubwa, kitendo cha kutabiri next 5 pips ni buy au selling wanaingiza millions of money, wana washauri na wataalamu wa kufanya analysis, wana risk managers, yote na yote na wao wanakosea trades. Wengine hawagusi leverage wengine leverage kubwa ni 5. (Hawa ni asilimia chache sana hawana mbwe mbwe na maneno mengi).
3-Brokers, brokers ni mhamasishaji na wazee wa kutoa successful story, mbinu mbali mbali kuhakikisha traders wanajaa na kuweka pesa.
Hao ndio walamba asali ya FOREX ndugu zangu, huku kwingine wazee wa dola $100 inakuwa $1000 within a week ni betting mnafanya.
Nilifuatilia sana Forex wakati fulani, kama huna pesa acha hio mambo, professional traders wengi tu wana strategy ambapo winning rate ni 40%, 4 winning trades out of 10, ana loose 6 trades, kwa kutumia risk management anaingiza faida and they are happily, wana mitaji.