Mavurunza
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 230
- 172
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.
Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.
1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.
Kama upo willing, nicheki inbox kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga.
Vile vile kama wewe tayari ni mchimbaji na ungependa kuungwa kwenye group la wachimbaji wa Renec Tanzania pia tuwasiliane.