Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

Binafsi niliachaga forex long time baada ya kugundua nahitaji at least 2000$ plus nidhamu ya hali ya juu Ili niwe comfortable katika trading. Hii ya kudanganyana eti 100$ unaweza ukatrade niliona ni upumbavu tu.
nenda ftmo mzee alaf fx ni maarifa plis nizam mtaji sio matter sana kama hmna nidham na sbra
 
Kitu ambacho nimejifunza kuusu biashara hii imejaa matapeli wengi Sana alafu c ya uwakika kingine asala ni nyingi kuliko faida ndomana matajir na wafanyabiasha wakubwa siwasikii kufanya hii biashara maanayake ukuna ukwer kwenye hii biashara nakusii kijana mwenzangu njoo tulime mpunga alizet ngano maindi mbogamboga ufugaji nk. Uku ndipo kwenye matajir na na ndokwenye pesa nyingi Aya Mambo ya forex tuwaachie wazungu sisi tuna aridh ya kutosha
 
Kuckia kwa kenge nikupiga mpk masikio yatoe damu.
 
Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni

1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day
3. Usitegee Signals kwa mtu
4. Uwe na muda wa kutosha.View attachment 2264154

forex will make futures millionaires if patient is with you
 
Ukisema sio gambling unaanza uongo. Uwekezaji ambao hauna uzalishaji au utoaji huduma na huwezi kukadiria rejesho kwa msingi wa uchumi ni sawa na kubashiri. Kuuza na kununua huko unakosema wengine kwa lugha ngeni huita speculating, which really is gambling... hiyo mikakati(strategies) ya kubashiri(speculating) haina tofauti na ule unaofanyika kwenye michezo.

Ningependa kujua utofauti unaojua wewe tofauti na wasiojua watu waliosoma mambo ya fedha. Hata ukiangalia NYSE au LSE utagundua taarifa zote zinachakatwa na kompyuta tu wataalamu hawawezi kujua matokeo ya uwiano wa bei za sarafu hadi yachapishwe kwenye monitor, they can only react and try to presume on what caused the outcome. Utamshauri vipi mtu afanye hiyo kama kazi au uwekezaji wa pesa zake za uchache kwa jinsi sarafu zilivyo? You can put in place all the strategies you may like but in the end it is and always has been a gamble. Too risky, very low rewards.

ulichoongea ni zaidi ya ukweli but i can assure you that you can still make money out of it, japokua umesema ukweli mweupe bila kupepesha maneno
 
weekend imeanza
 

Attachments

  • GBPJPY_2022-09-17_13-39-12.png
    GBPJPY_2022-09-17_13-39-12.png
    19 KB · Views: 14
Km niivo Bro watu wasitumie plan B ,,bhc Leo Tanzania tungekuwa tunaunda ngege tezu, magar, simu pia tungeunda pi mpk mashine za kushonea nguo ingefaa sana kuund sisi wenyewe isingekua na maana tuende china kubuy basic need,, km ni muhimu kuwa socialism bhn Ata wa signal pia anahaki kuwa connected with other in order to maintain life
 
Back
Top Bottom