Kesi za Watu kufilisiwa na Forex nyingi kuliko Watu kutoboa na Forex...... ila nawazaga tu KWANINI WALIOIELEWA VIZURI FOREX HUWA HAWATRADE ILA WANAFUNGUA DARASA KUWAFUNDISHA WATU WATRADE KWA MALIPO!!!!!!Hii biashara imepigwa marufuku kwenye baadhi ya nchi zilizokuwa zinaongoza kutoa taarifa na kuendesha kampuni za uwakala wa masoko ya fedha kama huko Israel. Nashauri yeyote anayetaka kujihusisha huko afanye utafiti wa kutosha na kuelewa sana. Akiona sehemu haelewi au lugha inamkata chenga aache! Binafsi nimefatilia kidogo nikaona haina tofauti na kurusharusha pesa sportpesa. Naiweka kwenye kapu moja la michongo ambayo watu hupoteza pesa, kama vile kwenye network marketing.
Find knowledge kuhusu Fx, soma sana find strategies na hapa watu huwa wanafeli, wanaingia sokoni then anahisi tayari within a day amejua na anaweza kusell or kubuy ila kujua why, he or she is doing so, kwahiyo find knowledge and you enjoy.Hii biashara imepigwa marufuku kwenye baadhi ya nchi zilizokuwa zinaongoza kutoa taarifa na kuendesha kampuni za uwakala wa masoko ya fedha kama huko Israel. Nashauri yeyote anayetaka kujihusisha huko afanye utafiti wa kutosha na kuelewa sana. Akiona sehemu haelewi au lugha inamkata chenga aache! Binafsi nimefatilia kidogo nikaona haina tofauti na kurusharusha pesa sportpesa. Naiweka kwenye kapu moja la michongo ambayo watu hupoteza pesa, kama vile kwenye network marketing.
Hamna anayeijua Forex, then aache kutrade. Kwasababu most of retail traders ndio hao unawaona wanakurupukia soko, and pro traders ni wachache sana, you need Time to be a pro.Kesi za Watu kufilisiwa na Forex nyingi kuliko Watu kutoboa na Forex...... ila nawazaga tu KWANINI WALIOIELEWA VIZURI FOREX HUWA HAWATRADE ILA WANAFUNGUA DARASA KUWAFUNDISHA WATU WATRADE KWA MALIPO!!!!!!
Ndio ushangae hapo Mpigadili Tz Kwanini mtu masikini akupe wewe dawa ya kutoka kwenye umasikini? Sio kawaida kwa mtu usiye na mahusiano ya moja kwa moja akupe tu siri ya mafanikio. Inabidi uwe na akili changa kuamini watu ni wema kiasi hicho.Kesi za Watu kufilisiwa na Forex nyingi kuliko Watu kutoboa na Forex...... ila nawazaga tu KWANINI WALIOIELEWA VIZURI FOREX HUWA HAWATRADE ILA WANAFUNGUA DARASA KUWAFUNDISHA WATU WATRADE KWA MALIPO!!!!!!
Ukisema sio gambling unaanza uongo. Uwekezaji ambao hauna uzalishaji au utoaji huduma na huwezi kukadiria rejesho kwa msingi wa uchumi ni sawa na kubashiri. Kuuza na kununua huko unakosema wengine kwa lugha ngeni huita speculating, which really is gambling... hiyo mikakati(strategies) ya kubashiri(speculating) haina tofauti na ule unaofanyika kwenye michezo.Find knowledge kuhusu Fx, soma sana find strategies na hapa watu huwa wanafeli, wanaingia sokoni then anahisi tayari within a day amejua na anaweza kusell or kubuy ila kujua why, he or she is doing so, kwahiyo find knowledge and you enjoy.
Anyway forex sio gambling ulinganishe na sportpesa
Ukweli Mchungu ila hakuna namna kuambianaNdio ushangae hapo Mpigadili Tz Kwanini mtu masikini akupe wewe dawa ya kutoka kwenye umasikini? Sio kawaida kwa mtu usiye na mahusiano ya moja kwa moja akupe tu siri ya mafanikio. Inabidi uwe na akili changa kuamini watu ni wema kiasi hicho.
Kimsingi, ukielewa anajitanganza na kudili na watu wengi utajua hata muonekano wa mafanikio anaodanganyia watu unatokana na hao watu wala sio anachohubiri. Natamani kusema ni utapeli.
viruriFind knowledge kuhusu Fx, soma sana find strategies na hapa watu huwa wanafeli, wanaingia sokoni then anahisi tayari within a day amejua na anaweza kusell or kubuy ila kujua why, he or she is doing so, kwahiyo find knowledge and you enjoy.
Anyway forex sio gambling ulinganishe na sportpesa