heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
nenda ftmo mzee alaf fx ni maarifa plis nizam mtaji sio matter sana kama hmna nidham na sbraBinafsi niliachaga forex long time baada ya kugundua nahitaji at least 2000$ plus nidhamu ya hali ya juu Ili niwe comfortable katika trading. Hii ya kudanganyana eti 100$ unaweza ukatrade niliona ni upumbavu tu.
Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni
1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day
3. Usitegee Signals kwa mtu
4. Uwe na muda wa kutosha.View attachment 2264154
Ukisema sio gambling unaanza uongo. Uwekezaji ambao hauna uzalishaji au utoaji huduma na huwezi kukadiria rejesho kwa msingi wa uchumi ni sawa na kubashiri. Kuuza na kununua huko unakosema wengine kwa lugha ngeni huita speculating, which really is gambling... hiyo mikakati(strategies) ya kubashiri(speculating) haina tofauti na ule unaofanyika kwenye michezo.
Ningependa kujua utofauti unaojua wewe tofauti na wasiojua watu waliosoma mambo ya fedha. Hata ukiangalia NYSE au LSE utagundua taarifa zote zinachakatwa na kompyuta tu wataalamu hawawezi kujua matokeo ya uwiano wa bei za sarafu hadi yachapishwe kwenye monitor, they can only react and try to presume on what caused the outcome. Utamshauri vipi mtu afanye hiyo kama kazi au uwekezaji wa pesa zake za uchache kwa jinsi sarafu zilivyo? You can put in place all the strategies you may like but in the end it is and always has been a gamble. Too risky, very low rewards.
Autoambulia kitu labda nikuelekeze jambo ok itakalokusaida ktk iyo dola 5, tofaut na hapo tafuta dola 50 buy MFF account fuata vigezo uwe fundedNaanza na $5
Hiyo inakuawaje mkuuAutoambulia kitu labda nikuelekeze jambo ok itakalokusaida ktk iyo dola 5, tofaut na hapo tafuta dola 50 buy MFF account fuata vigezo uwe funded
Google myforexfundsHiyo inakuawaje mkuu
UmeivaaBinafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni
1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day
3. Usitegee Signals kwa mtu
4. Uwe na muda wa kutosha.View attachment 2264154