Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Mamndenyi
mwandani wa roho sema jingine! Hilo tu! mbona nilishakuoa siku nyingi ndani ya moyo wangu! Nakamilisha taratibu zote za kumila na kidini tufanye harusi la kukata na shoka!
Asante sana. nitazidi kukupenda zaidi na zaidi sana.
Last edited by a moderator: