Uchaguzi 2020 Sema neno moja tu kwa NEC kabla ya kufika 25/08/2020

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Onesha uzalendo wako halisi, sema neno kwa Tume ya Uchaguzi kabla ya kutoa majina kesho. Jitahidi comment iwe ya staha, karibu
 
Magufuli punguza uoga Lissu ni threat lakini uoga wako utakufanya upate kura chache mtagawana na Lipumba pia ukilazimisha kumuengua Lissu utaonekana kichekesho na utaishia kupinduliwa tu kama Gadafi tenda haki hii nchi sio ya kwako ni yetu sote
 
CCM kumbe ni wepesi hivyo hiiiiii ; yaani Lissu kawachanganya kabisa vagosha hiiiiiiii

Yaani mnachekesha sana ...kumbe ni waoga hivyo hiiiiiiii
 
BTW Tanzania ni nchi ya Amani na Itabaki kuwa na Amani milele na milele... uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea kama kawaida... msisitizo "yataendelea kama kawaida"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…