Uchaguzi 2020 Sema neno moja tu kwa NEC kabla ya kufika 25/08/2020

Uchaguzi 2020 Sema neno moja tu kwa NEC kabla ya kufika 25/08/2020

Onyesha uzalendo wako halisi, sema Neno kwa Tume ya Uchaguzi kabla ya kutoa majina kesho. Jitahidi comment iwe ya staha, karibu
Hawana tofauti na majambazi yanayo pora watu halali zao kwani na wao wanapora haki za wananchi kwa maisha yao. Majambazi yanastahili KIFO kwa nini isiwe na wao?
 
Sheria ni msumeno, waisimamie. Kama kuna mgombea alikiuka taratibu wamkate.
 
Onesha uzalendo wako halisi, sema Neno kwa Tume ya Uchaguzi kabla ya kutoa majina kesho. Jitahidi comment iwe ya staha, karibu
JamiiForums936589565.jpg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom