Uchaguzi 2020 Sema neno moja tu kwa NEC kabla ya kufika 25/08/2020

Uchaguzi 2020 Sema neno moja tu kwa NEC kabla ya kufika 25/08/2020

Attachments

  • IMG-20190714-WA0023.jpg
    IMG-20190714-WA0023.jpg
    51.8 KB · Views: 1
Nec acheni kutumika hii nchi sio mali ya mtu yoyote wala chama chochote Ni mali ya watanzania ,wameni watanzania fursa ya kumchagua mtu wanayemtaka siyo kazi yenu kuwachagulia watanzania nani agombee nani asigombee
 
Nec acheni kutumika hii nchi sio mali ya mtu yoyote wala chama chochote Ni mali ya watanzania ,wameni watanzania fursa ya kumchagua mtu wanayemtaka siyo kazi yenu kuwachagulia watanzania nani agombee nani asigombee kila siku nawaambia hii komenti imekiuka kanuni na masharti yapi ya jf tumia akili kuikoa hii nchi we afisa kipenyo
 
Nawashauri Nec, hii nchi bado kuongozwa na upinzani. Wacheze kwa akili
 
Back
Top Bottom