Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Aug 24, 2020 #61 Elli Mshana said: NEC sasa ndio wanamteta Mkwe sasa wanashindwa kutoa sauti maana undercover wa CCM wapo.....pata picha sasa! Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..bwana Kuna baridi kucheka nahis vichomi...dah Nimewaza mbali sana...🤣🤣🤣
Elli Mshana said: NEC sasa ndio wanamteta Mkwe sasa wanashindwa kutoa sauti maana undercover wa CCM wapo.....pata picha sasa! Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..bwana Kuna baridi kucheka nahis vichomi...dah Nimewaza mbali sana...🤣🤣🤣
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 24, 2020 #62 Elli Mshana said: Onesha uzalendo wako halisi, sema Neno kwa Tume ya Uchaguzi kabla ya kutoa majina kesho. Jitahidi comment iwe ya staha, karibu Click to expand... Wakifanya uhuni tunawafanyizia
Elli Mshana said: Onesha uzalendo wako halisi, sema Neno kwa Tume ya Uchaguzi kabla ya kutoa majina kesho. Jitahidi comment iwe ya staha, karibu Click to expand... Wakifanya uhuni tunawafanyizia
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Aug 24, 2020 #63 NEC mkimkata Lissu mtajuta.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 24, 2020 Thread starter #64 Wangari Maathai said: 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..bwana Kuna baridi kucheka nahis vichomi...dah Nimewaza mbali sana...🤣🤣🤣 Click to expand... Vaa sweta tafadhali
Wangari Maathai said: 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..bwana Kuna baridi kucheka nahis vichomi...dah Nimewaza mbali sana...🤣🤣🤣 Click to expand... Vaa sweta tafadhali