N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,308 Reaction score 12,812 Sep 4, 2026 #1 Ila Mwaisapile?! Yule Mnyakyusa alijua kutunyoosha?! Gen Z watajua ni foleni ya Ubungo!
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,863 Reaction score 6,041 Sep 8, 2026 #2 Samunge moja hiyo.
T The Anfield JF-Expert Member Joined Dec 15, 2025 Posts 290 Reaction score 374 Sep 9, 2026 #3 Kazi ya system
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Sep 9, 2026 #4 Mmemchagua mtu rais hapo.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 7,368 Reaction score 12,964 Sep 9, 2026 #5 Hadi kikwete alienda
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,507 Reaction score 34,689 Sep 9, 2026 #6 Wanadai ilikua project ya serikali😃
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,308 Reaction score 12,812 Sep 9, 2026 Thread starter #7 Selikavu said: Wanadai ilikua project ya serikali😃 Click to expand... Watu si walienda willingly
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,668 Reaction score 9,806 Sep 9, 2026 #8 Bora ninyamaze tu
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,278 Reaction score 12,584 Sep 9, 2026 #9 Propaganda
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Sep 9, 2026 #10 Mpaka sasa sielewi mlimwagiwa dawa gani mkapumbazwa nchi nzima
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,880 Reaction score 3,042 Sep 9, 2026 #11 Hii inaonyesha kuwa Ngwengwe ni janga la Kitaifa, uakwimu zinasonga gapi gapi this time around kama miaka hivyo hali ilikuwa hivyo?
Hii inaonyesha kuwa Ngwengwe ni janga la Kitaifa, uakwimu zinasonga gapi gapi this time around kama miaka hivyo hali ilikuwa hivyo?
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,507 Reaction score 34,689 Sep 9, 2026 #12 N'yadikwa said: Watu si walienda willingly Click to expand... Fuatilia vizuri mkuu
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Sep 9, 2026 #13 Nakumbuka mamia yalifia kwenye safari hii za loliondo duuh utapeli ulianza tangu zamani