Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.mkuu usiwe standby kushambulia kama dondora.
kwani wewe unayesifia umefanikiwa kumiliki gari gani??hii jf isifanye tukawa wapuuzi kuna maisha nje yake.
mchango wangu haukurenga kukukwaza wewe wala mme wako,bali kumsifu soma kwa utulivu.
I BET I WAS THAT WEAK!you are very weak and too emotional sir[emoji23][emoji23][emoji23].
Huwezi kumbadilisha mchizi, huu ni uongo wa mchana kweupe...We tia kiporo kwenye microwave ya shemeji unywe chai kwanza.😂😂😂msiojua,sisi ndio tunambadilisha mond.
hamalizi huu mwaka hajanunua gari kali zaidi si,nyinyi wajinga mnaoshindwa nyumbani kwake hapo mkicheza cheza kwenye parking,hamna impact yoyote kwake zaidi ya kutafuta kula kupitia yeye.
X6 dude la kinyamwezi sana mzee,,Yaani ile gari nikiiona tu.staki kuangalia gari nyingine kabisa.bado gari za kizee hizo.
hapo ya kizazi ni hilo x6,akiongezeka mnyama mkali Rr,RR itakiwa cool sana.
Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.
umekunywa chai mkuu,au mpaka mchizi aamke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kumbadilisha mchizi, huu ni uongo wa mchana kweupe...We tia kiporo kwenye microwave ya shemeji unywe chai kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah mkuu sio chai. Nimekunywa breakfast babu! We malizia chai uoshe escudo ya shemeji hapo uani!umekunywa chai mkuu,au mpaka mchizi aamke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
ndezi wake wamenikwida kanzu hapa[emoji23][emoji23].X6 dude la kinyamwezi sana mzee,,Yaani ile gari nikiiona tu.staki kuangalia gari nyingine kabisa.
haya endelea kucheza quarantine hapo,wacha wengine tumjaze moto boss wako.Hahahah mkuu sio chai. Nimekunywa breakfast babu!
Huko ni kumpangia mtu na hela zake. Kwani unadhani kwenye fleet ya magari Beforward hakuona hizo benz na audi, ama cadillac na chevys?niko positive labda kama unanisoma ukiwa negative tu.
labda nikwambie kitu nawewe mkuu,sisi mnaotuita haters ndio tunafanya mond azidi kukua sababu tunaona makosa na kuyasema.nyinyi sijui mnaogopa mtapoteza kazi sijui.
mimi nimesema magari ni ya kizee,yako 3 hapo kwani alipewa kwa lazima mpaka anachukua landcruiser 3!!!si alinunua??
kukaa kimya sio chaguzi kisa wewe utanipinga.
Jamaa wala hanijui mkuu, mi sina haja ya kucheza ili nile. Mambo ni mengi!haya endelea kucheza quarantine hapo,wacha wengine tumjaze moto boss wako.
Mkuu acha wivu,mchawi mpe sifa zake,wazungu wanasema if you can't defeat them,join them,mond huko juu acha apate sifa zakeSifa za kijinga.
x6 ni gari ila sio kwa model ya 2008! Huwezi fananisha gari ya milion 60 na gari za million 200! Nyie wafia x6 si mnunue mpost?ndezi wake wamenikwida kanzu hapa[emoji23][emoji23].
wanasema naponda jamaa,sijui hiyo x6 nilimnunuali mimi[emoji1][emoji1]
mkuu hata tukipost hutajua.sababu hatuna umaarufu wowote.x6 ni gari ila sio kwa model ya 2008! Huwezi fananisha gari ya milion 60 na gari za million 200! Nyie wafia x6 si mnunue mpost?
ndio tuko hapa kuandika na kueleza mitizamo tofauti.sijui kwanini kunakuwa na hali ya kuhisiana uchawi.Huko ni kumpangia mtu na hela zake. Kwani unadhani kwenye fleet ya magari Beforward hakuona hizo benz na audi, ama cadillac na chevys?
Hautajiriki kwa kumchukia tajiriSifa za kijinga.
Uko sahihi ila pia ukumbuke ni swala la maamuzi yake binafsi. Hata mie naweza kuwa na uwezo wa kununua Range rover sport ila napenda Lexus mkuu! Nikiamua kununua LX570 inakuwa nongwa?mkuu hata tukipost hutajua.sababu hatuna umaarufu wowote.
unajua labda sisi tunavyomchukulia mond ni tofauti na nyinyi wa karibu hapo mnavyomjua labda.landa mnajua hizo gari alizipataje tofauti na kununua,ndio maana mnabishana kwa nguvu namna hii.
sisi tunamuona mond ni mtu ana hela,ana uwezo wa kumiliki gati kali zaidi kwa ukubwa wa jina lake nk,au sio???
Wewe unajua unaongea na Nani?msiojua,sisi ndio tunambadilisha mond.
hamalizi huu mwaka hajanunua gari kali zaidi si,nyinyi wajinga mnaoshindwa nyumbani kwake hapo mkicheza cheza kwenye parking,hamna impact yoyote kwake zaidi ya kutafuta kula kupitia yeye.
Umempa ushauri mzuri asipokuelewa atakuwa Ni mbishi asie na sababu ya msingiMimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.
Atakuwa amenielewaUmempa ushauri mzuri asipokuelewa atakuwa Ni mbishi asie na sababu ya msingi