Sema parking ya Mond ni kama parking ya Bunge

mkuu usiwe standby kushambulia kama dondora.

kwani wewe unayesifia umefanikiwa kumiliki gari gani??hii jf isifanye tukawa wapuuzi kuna maisha nje yake.

mchango wangu haukurenga kukukwaza wewe wala mme wako,bali kumsifu soma kwa utulivu.
Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.
 
msiojua,sisi ndio tunambadilisha mond.

hamalizi huu mwaka hajanunua gari kali zaidi si,nyinyi wajinga mnaoshindwa nyumbani kwake hapo mkicheza cheza kwenye parking,hamna impact yoyote kwake zaidi ya kutafuta kula kupitia yeye.
Huwezi kumbadilisha mchizi, huu ni uongo wa mchana kweupe...We tia kiporo kwenye microwave ya shemeji unywe chai kwanza.😂😂😂
 
Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.

niko positive labda kama unanisoma ukiwa negative tu.

labda nikwambie kitu nawewe mkuu,sisi mnaotuita haters ndio tunafanya mond azidi kukua sababu tunaona makosa na kuyasema.nyinyi sijui mnaogopa mtapoteza kazi sijui.

mimi nimesema magari ni ya kizee,yako 3 hapo kwani alipewa kwa lazima mpaka anachukua landcruiser 3!!!si alinunua??

kukaa kimya sio chaguzi kisa wewe utanipinga.
 
Huwezi kumbadilisha mchizi, huu ni uongo wa mchana kweupe...We tia kiporo kwenye microwave ya shemeji unywe chai kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]
umekunywa chai mkuu,au mpaka mchizi aamke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
X6 dude la kinyamwezi sana mzee,,Yaani ile gari nikiiona tu.staki kuangalia gari nyingine kabisa.
ndezi wake wamenikwida kanzu hapa[emoji23][emoji23].

wanasema naponda jamaa,sijui hiyo x6 nilimnunuali mimi[emoji1][emoji1]
 
niko positive labda kama unanisoma ukiwa negative tu.

labda nikwambie kitu nawewe mkuu,sisi mnaotuita haters ndio tunafanya mond azidi kukua sababu tunaona makosa na kuyasema.nyinyi sijui mnaogopa mtapoteza kazi sijui.

mimi nimesema magari ni ya kizee,yako 3 hapo kwani alipewa kwa lazima mpaka anachukua landcruiser 3!!!si alinunua??

kukaa kimya sio chaguzi kisa wewe utanipinga.
Huko ni kumpangia mtu na hela zake. Kwani unadhani kwenye fleet ya magari Beforward hakuona hizo benz na audi, ama cadillac na chevys?
 
ndezi wake wamenikwida kanzu hapa[emoji23][emoji23].

wanasema naponda jamaa,sijui hiyo x6 nilimnunuali mimi[emoji1][emoji1]
x6 ni gari ila sio kwa model ya 2008! Huwezi fananisha gari ya milion 60 na gari za million 200! Nyie wafia x6 si mnunue mpost?
 
mkuu hata tukipost hutajua.sababu hatuna umaarufu wowote.

unajua labda sisi tunavyomchukulia mond ni tofauti na nyinyi wa karibu hapo mnavyomjua labda.landa mnajua hizo gari alizipataje tofauti na kununua,ndio maana mnabishana kwa nguvu namna hii.

sisi tunamuona mond ni mtu ana hela,ana uwezo wa kumiliki gati kali zaidi kwa ukubwa wa jina lake nk,au sio???
 
Huko ni kumpangia mtu na hela zake. Kwani unadhani kwenye fleet ya magari Beforward hakuona hizo benz na audi, ama cadillac na chevys?
ndio tuko hapa kuandika na kueleza mitizamo tofauti.sijui kwanini kunakuwa na hali ya kuhisiana uchawi.
 
mkuu hata tukipost hutajua.sababu hatuna umaarufu wowote.

unajua labda sisi tunavyomchukulia mond ni tofauti na nyinyi wa karibu hapo mnavyomjua labda.landa mnajua hizo gari alizipataje tofauti na kununua,ndio maana mnabishana kwa nguvu namna hii.

sisi tunamuona mond ni mtu ana hela,ana uwezo wa kumiliki gati kali zaidi kwa ukubwa wa jina lake nk,au sio???
Uko sahihi ila pia ukumbuke ni swala la maamuzi yake binafsi. Hata mie naweza kuwa na uwezo wa kununua Range rover sport ila napenda Lexus mkuu! Nikiamua kununua LX570 inakuwa nongwa?
 
msiojua,sisi ndio tunambadilisha mond.

hamalizi huu mwaka hajanunua gari kali zaidi si,nyinyi wajinga mnaoshindwa nyumbani kwake hapo mkicheza cheza kwenye parking,hamna impact yoyote kwake zaidi ya kutafuta kula kupitia yeye.
Wewe unajua unaongea na Nani?
 
Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.
Umempa ushauri mzuri asipokuelewa atakuwa Ni mbishi asie na sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom