mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ricado momo.Wewe unajua unaongea na Nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ricado momo.Wewe unajua unaongea na Nani?
Honestly nawakubali sana watu wanaojituma na kupata mafanikio, lkn Usupastaa wooote huo ANAENDESHA TOYOTA! Sasa Lusinde aendeshe V8 Mond nae V8 akili ya Manzese bado iko Kichwani huyu!Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bungeView attachment 1460273. Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Mzee kwenye hiyo parking yake Kuna MBW lakini pia ameshanunua Rolls-Royce anasubiri tu uingereza wafungue urushwaji wa ndege ailete bongo au Hilo ulijuiHonestly nawakubali sana watu wanaojituma na kupata mafanikio, lkn Usupastaa wooote huo ANAENDESHA TOYOTA! Sasa Lusinde aendeshe V8 Mond nae V8 akili ya Manzese bado iko Kichwani huyu!
Hebu nenda kwenye Parking ya Jose Chameleon au Jaguar tu hapo Kenya utakuta Peugot, mi Jeeep,BMW na mikolokolo kama yote mingine ya kistaaa siyo hizo takataka za ASIA. Nawaza kwa sauti tuu lkn.
Jamaa ananunua uwanja wa ndege Kule kanda ya ziwa😀😀😀Mmeiona ya kibaaaaaaa????
Sema tu jamaa hapendi show off
Mimi hata kama sina gari ila nime appreciate mzee. Halafu labda nikuweke sawa mie nina mke mkuu i'm a man. Ishu ni kuwa positive in whatever comes infront of you. Sio ku reduce value ya vitu ambavyo wanaume wenzio wanamiliki. Haipendezi kama huna la kuongea kukaa kimya ni option nzuri zaidi.
V8 ni aina ya engine sio gariHonestly nawakubali sana watu wanaojituma na kupata mafanikio, lkn Usupastaa wooote huo ANAENDESHA TOYOTA! Sasa Lusinde aendeshe V8 Mond nae V8 akili ya Manzese bado iko Kichwani huyu!
Hebu nenda kwenye Parking ya Jose Chameleon au Jaguar tu hapo Kenya utakuta Peugot, mi Jeeep,BMW na mikolokolo kama yote mingine ya kistaaa siyo hizo takataka za ASIA. Nawaza kwa sauti tuu lkn.
Hata kama V8 zinauzwa 1 billion,ila bado X6 inonekana gari ya kinyamwezi sana,na inapendeza kutumia kijana kuliko izo V8 za 1 billion sijui.ndezi wake wamenikwida kanzu hapa[emoji23][emoji23].
wanasema naponda jamaa,sijui hiyo x6 nilimnunuali mimi[emoji1][emoji1]
😂😂😂😂😂hii chumvi imezidi viwango mkuu even if ni joke...nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Kuna Ile Bima hapo haipo..Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge
Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
View attachment 1460273
Tafta hela acha kujifariji kijinga Mkubwa wewe ujueSifa za kijinga.
Bob mbona kama uko emotional sana??😀.Mwana katoa mawazo yake kwamba X6 inapendeza kwa kijana kuliko izo V8,ndio tunajua v8 ni 200+mil na Mond anaweza hata kununua 6,ila muonekano wake wa kizee...Yaani ni mawazo tu,no need to be emotional.x6 ni gari ila sio kwa model ya 2008! Huwezi fananisha gari ya milion 60 na gari za million 200! Nyie wafia x6 si mnunue mpost?
Jiongeze tu bob,jamaa kamaanisha land cruiser v8.V8 ni aina ya engine sio gari
Mkuu afadhali umenisemea mkuu!Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!
Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
Hivi vitz ikiwa mbovu ndo inaitwa vitis! Sikuwa najua. Halafu kuhusu matajiri kutopondeana Kwani we ulishakaa kupiga stori na wangapi ukajihakikishia kuwa hawapondani? Mi sina uhakika 100% ila najua kwa tabia ya Ku copy bidhaa za wenzake na ubahili wa kijasiriamali Mo Dewji atakuwa anapondwa na wenzakewote walio pondea gari za mondi sidhani kama wanamiliki hata vitis mbovu, alie fanya nzuri apongezwe tuache roho za korosho ambazo hazijengi
Anae taka kutoa povu toa, ila mwenye pesa sijawahi ona wala kuskia anaponda mali ya mwanaume mwenzie, mfano Mo dewij, Abood, Mengi na wengine weeengi