Nilikutana nao nilikuwa naiba matunda ya komamanga kwa mama mmoja wa kichaga. Nilipiga kelele yule mama akashangulia Sana. Maumivu yakazidi Mara 2
Umenichekesha saana! Bigup!Kwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah mimi ndiye yule rafiki wa bro wako ambaye mchungwa upo kwetu kwa sasa natafuta mkeKwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nasikia inaongeza ukubwa wa dushe wakipitia pale
Una vistogimbi???[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah mimi ndiye yule rafiki wa bro wako ambaye mchungwa upo kwetu kwa sasa natafuta mke
Ndio nini tena hiyo ? Japo sijui ni nini ila sina kwa kweliUna vistogimbi???[emoji23] [emoji23] [emoji23]
πππππmwehu weweKwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo