sema ukwel uliwashahi kupewa show na hawa jamaaa na uliiifurahia au hukuipenda ....

sema ukwel uliwashahi kupewa show na hawa jamaaa na uliiifurahia au hukuipenda ....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikutana nao nilikuwa naiba matunda ya komamanga kwa mama mmoja wa kichaga. Nilipiga kelele yule mama akashangulia Sana. Maumivu yakazidi Mara 2
 
hao jamaa acha kabsa walnipa show 2lipokua 2nacheza chin ya daraja la reli nilitaman niji2pe chin xema kulikua na MTO af unamaw ko nlikomaa kgum ila nkaacha u2ndu
 
Hawa tunawadhibiti vipi?
Au akikung'ata inabidi kutumia dawa gani?

Mm huwavunjia kiota chao kila wakitengeneza hapa mlangoni kwangu,sikuwajua kama ndio nyigu hao.
 
Kwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenichekesha saana! Bigup!
 
Dah mimi ndiye yule rafiki wa bro wako ambaye mchungwa upo kwetu kwa sasa natafuta mke
 
Kwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀😀mwehu wewe
 
Wanipa za uso hao juu ya mkorosho enzi hizo unubini chang'ombe niripiga mayowe
 
Hawa walinipa show moja matata sana.
Nilipanda kwenye dirisha la nyumba moja ilikuwa haijaisha, kumbe wapo kwenye ukuta wa juu wa dirisha. Mimi nikawasigina na kichwa, walinianza Mimi wakafuata kwa wenzangu jirani. Tulikutana nyumbani nina nundu kama saba kichwani, mwenzangu jicho limevimba hadi haoni.
Yale maisha ilikuwa hatari na sio salama.
 
aisee huyo mdudu aliniuma kwenye bega nilihisi kama nimepigwa panga, mbaya sana huyo kiumbe
 
pata picha jua kaliiiii la saa saba mchana

unapata breakdown alafu huna triangle reflector unaingia chaka kukata majani ili uweke road alafu wajomba wanacheza na kichwa chote

inakuwa ni breakdown S plus
 
Back
Top Bottom