Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
- Thread starter
-
- #121
Kwani hii kazi ulisomea au vitu vipo damuniKwa bahati mimi huwa naunganisha hadi mabao sita pasipokwenda mapumziko.
I always score almost six goals consistently with no time for water break.
Nimetafsiri kwa kiingereza fyongo Ili kama yeye siyo mtanzania aweze kunielewa japo kidogo na ajiandae kwa kwa shughuli pevu.
Bruh hhela ndo mpango mzimaUna undugu na Monetary doctor kiongozi 😎
Nilienda kuchukua degree ya hii kazi pale Makerere UG.Kwani hii kazi ulisomea au vitu vipo damuni
Baada ya kuhitimu sasa hivi una-enjoy bao la mama, huku bongoNilienda kuchukua degree ya hii kazi pale Makerere UG.
MbunyeMoja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue .Nimeanzisha uzi ila mwenyekiti ni
mzabzab akisaidiana na secretarybird
. Katibu ni Nomadix 😎
------------------------------
Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
Hakika mkuu, bao la mama.Baada ya kuhitimu sasa hivi una-enjoy bao la mama, huku bongo
Odds 50 za uhakikaMoja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue .Nimeanzisha uzi ila mwenyekiti ni
mzabzab akisaidiana na secretarybird
. Katibu ni Nomadix 😎
------------------------------
Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
Shida ni nani anamkupa sasa 😂Irene Uwoya
Deal gani kiongozi,isijekuwa deal kama konde alilomwitia ibraah chumbani 😁Deal
Nikipewa ile inaitwa "au nigeuke?" Hii hata nikiwa nimetoka usingizi sikataiBinafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
Tungepata kapicha ingependeza sana, sijui ni nini ila nahisi nikiona picha nitaipenda piaNikipewa ile inaitwa "au nigeuke?" Hii hata nikiwa nimetoka usingizi sikatai
Sasa mtoto wa kiume unaogopa nini kuingia chumbani kwa mwanaume mwenzio mkaongea kiume nini shida unamuogopa kwani yeye amekua pdidy?Deal gani kiongozi,isijekuwa deal kama konde alilomwitia ibraah chumbani 😁
Inaitwa "au nigeuke?"Tungepata kapicha ingependeza sana, sijui ni nini ila nahisi nikiona picha nitaipenda pia
Mmakonde inasemekana hakufanya mazungumzo ya kawaidaSasa mtoto wa kiume unaogopa nini kuingia chumbani kwa mwanaume mwenzio mkaongea kiume nini shida unamuogopa kwani yeye amekua pdidy?
Naanzia Google,ikikosa naenda telegram ikikosa pia naenda kuitafuta x(twitter), nikiipata naileta hapa kwa faida ya membersInaitwa "au nigeuke?"
Hata km mkiyaongea kiume unakaza mtoto wa kiume sio lazima ukimbilie kwenye Media, amuulize Mond ameitwa mara ngapi Chumbani kwa Tale au Said Fela na hajawahi kutangaza popoteMmakonde inasemekana hakufanya mazungumzo ya kawaida