Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ndio isake hio inaitwa "au nigeuke?"Naanzia Google,ikikosa naenda telegram ikikosa pia naenda kuitafuta x(twitter), nikiipata naileta hapa kwa faida ya members
Wewe ulijuaje kama hakutangaza 🤔Hata km mkiyaongea kiume unakaza mtoto wa kiume sio lazima ukimbilie kwenye Media, amuulize Mond ameitwa mara ngapi Chumbani kwa Tale au Said Fela na hajawahi kutangaza popote
Nini hakutangaza? Ulisikia wapi?Wewe ulijuaje kama hakutangaza 🤔
😅😅😅😅 jambo jambo?Mdogo wake shem wangu binti kiziwi
Utapotea 😅Urais hasa wakati huu wa rahis SSH
Nitamshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan kama itampendeza kunipotezaUtapotea 😅
Maharage ya Mbeya chuo cha kilimo 😅Demu akinitongoza mi ni maji mara moja siwezi kukataa.
Jambo shemeji habari yako dada mtu?😅😅😅😅 jambo jambo?