Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue .Nimeanzisha uzi ila mwenyekiti ni

mzabzab akisaidiana na secretarybird
. Katibu ni Nomadix 😎
------------------------------
Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
Urais hasa wakati huu wa rahis SSH
 
Nilitaka ku-comment kitu cha maana ila baada ya kuona umemtag mzabzab mzee wa asali nikaghairi
20250511_165625.jpg
 
Maswali mengine ya kitoto.. kuna mtu akipewa bilioni kadhaa atakataa?
 
Back
Top Bottom