Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

Bila hata kupewa, viazi wanao amini uwepo wa Mungu hawana hoja ,hivyo siwezi kupewa akili za kinyumbu kama hizo
 
Sumbawanga wanakusubir
Kuna redio station ipo pale yaan inaendeshwa ki local kabsaa kaokoe jahaz
Tatizi n kwamba qualification zangu zinanitaka niwe Kwenye TV na sio radio 😂
 
Back
Top Bottom